Monday, October 21, 2013

Mkurugenzi wa Wezesha Trust Fund Bi Lusako Mwakiluma akiwa pamoja na wafanyakazi wenzake wakitoa msaada katika kituo cha kulelea watoto yatima cha DAH-LUL mkoani Morogoro

Mkurugenzi wa Wezesha Trust Fund Bi Lusako Mwakiluma akiwa pamoja na wafanyakazi wenzake Ezma Mgaya(Afisa Maendeleo ya Jamii) na William Matajiri(Afisa Ugavi) wakitoa msaada katika kituo cha kulelea watoto yatima cha DAH-LUL Mkoani Morogoro kwa ajili ya kusherehekea pasaka, 2013

Wezesha Trust Fund ikikabidhi baadhi ya vyakula kwa Kituo cha watoto walemavu na wenye utindio wa ubongo Amani Centre – Morogoro –Kulia ni Mkurugenzi Bi Lusako Mwakiluma,  Mweka Hazina Bi Evetha Richard na Afisa Maendeleo jamii Bi Ezma Mgaya na kushoto ni Mkurugenzi wa Kituo cha Amani



No comments:

Post a Comment