Tuesday, February 18, 2014

WEZESHA & VIYOSO IKIWAWEZESHA VIJANA WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU - MKOANI MOROGORO 28-29 Novemba, 2013

Vijana waishio katika mazingira magumu wakijifunza kutengeneza batiki kwa kutumia mishumaa kwenye semina ya ujasiriamali tarehe 28-29/11/2013 - Sabasaba Mkoani Morogoro - waandaaji wa kuwawezesha walikuwa Wezesha Trust Fund & Victory Youth Support Organization.


Mwalimu Mama Mayala kutoka Dar es Salaam akifundisha jinsi ya kutengeneza batiki huku vijana wakiwa makini kumsikiliza, vijana hao (30) walifundishwa jinsi ya kufuga kuku wa nyama na mayai, kutengeneza chakula cha kuku, mishumaa ya aina zote na jinsi ya kuandaa vitalu na kilimo cha matunda na mbogamboga

No comments:

Post a Comment