Jinsi
ya kupata mafanikio:
Ufunguo wa utajiri na kufanikiwa ebu soma haya kwa makini:
Utajiri na mafanikio sio karama ya watu wachache. Wote tunao uwezo
wa kuupata kwa kiasi tunachotaka katika
maisha yetu. Jifunze siri ya nguvu za
kupata mafanikio, utajiri kwa haraka katika maisha yako.
Kwa nini watu wengi wanataka kufanikiwa,
utajiri na kwenda mbele katika maisha na wengi wetu hatuna hivyo vitu.
Kwanini?
Sababu kubwa ni kwamba tunafikiria sana
hasi au tunafikiria vitu vibaya.
Kutokana na kufikiria kinyume na vibaya tunaenda kupoteza muda mwingi
kwa kujiwekea vipingamizi wenyewe vya mafanikio.
Tunapoteza muda mwingi kwenye vile
tunavyovikosa na kuja kuwa wafungwa
katika mafikirio yetu. Ili tuweze kupata
mafanikio katika maisha inabidi tubadilishe mtazamo wetu na tabia ambayo
tumeishaizoea.
Ondoa hali ya hasi na karibisha kukua
katika mafanikio yako.
Unatakiwa uondoe kabisa hali ya hasi
katika fikra zako zote na mawazo yako yote angalia mbele na jiweke vizuri
katika kila unachokifanya na kwa mtu wowote unayekutana naye. Tunajifunza kutoa shukrani kidogo ili tuweze kuona kile ambacho tunakosa na kile ambacho tutakiongeza au fursa zikoje?
Unatakiwa uwe makini sana na kila kitu kimoja, mtu au sehemu ambayo ni muhimu katika kupata
fursa kwa hiyo utaenda kupata kukua kimafanikio, fursa na hata kupata utajiri unaoutaka katika maisha yako.
Usiruhusu mawazo hasi yakuaribie mtazamo wako au nafasi ya kupata
fursa, mafanikio na furaha, tengeneza tabia ya kuangalia vizuri katika kila
kitu hivyo basi usiangalie chini ambako
hakuna fursa. Kama utaona hakuna kitu,
jifunze jinsi ya kuona kuwa mtazamo ni sehemu ndogo ya ukweli na upige picha
kwa kupitia umuhimu na uwezekano wa kufanya kitu.
Njia
za kuweza kupata mafanikio na utajiri
·
Panga
mipango:
Fahamu kwamba kama unataka
kufanikiwa. Panga mipango yako. Jiangalie
mwenyewe kama mtu ambaye unao uwezo wa kufikia malengo yako.
·
Jiangalia
tokea ndani:
Fuata nafsi yako inasema nini wakati wote
kukuhakikishia msaada kwa kuona
mbele hasa wakati ule ambao unahitaji
msaada. Nafsi ni ngumu kuelezea ila kila
mmoja anajua na anao uzoefu wa mawazo makubwa kuhusiana na kitu fulani na
wakati wote unaweza ukajitenga na kuumia.
·
Piga
picha:
Pata mafanikio na utajiri kwa kupiga
picha mipango yako na fanyia mazoezi
fahamu zako kama vile umeshapata hayo mafanikio.
·
Matendo:
Usifikirie kitu utakachofanya ili uweze kufikia malengo yako ila fanya ili ufikie malengo yako. Kama unajua unataka kubadilisha maisha yako na mtazamo wako, fanya hivyo. Hata kama unaona ni ngumu kwa kutoa sababu
nyingi, jipe ujasiri na endelea mbele kwa kufanya mwenyewe.
·
Jifunze
kutokana na uzoefu:
Jifunze kutafakari na kuangalia kwa undani maisha yako, uzoefu wako, na
mahusiano yako. Jifunze kutokana na makosa ya awali na elewa kwanini unabadilisha mafikirio yako na utakubalije vikwazo katika mafikirio na imani. Acha hali ya hasi na kutumia nguvu ndogo inayokuzunguka kwa
sababu wakati mwingine vinakusimamisha na
kukupa mzigo mkubwa.
·
Fuata
shauku yako:-
Mwisho napenda nikwambie kitu muhimu sana
kwa sababu ya kufanya kile unachokipenda sana, hakuna sababu ya wewe
kushindwa au kuogopa kuendelea kufanya ili ufanikiwe.
Wengi
wetu wanaenda na maisha wakiwa vipofu, wamekata tamaa na hawana furaha, je
unayo mawasiliano ya ndani na wewe mwenyewe na yabadilishe kuwa yenye manufaa
kwa mtazamo wako na utakuwa umejihakikishia
kupata mafanikio unayoyataka katika maisha yako.
Ni juu
yako kuamua sasa!!
No comments:
Post a Comment