Monday, October 21, 2013

Mkurugenzi wa Wezesha Trust Fund Bi Lusako Mwakiluma akiwa pamoja na wafanyakazi wenzake wakitoa msaada katika kituo cha kulelea watoto yatima cha DAH-LUL mkoani Morogoro

Mkurugenzi wa Wezesha Trust Fund Bi Lusako Mwakiluma akiwa pamoja na wafanyakazi wenzake Ezma Mgaya(Afisa Maendeleo ya Jamii) na William Matajiri(Afisa Ugavi) wakitoa msaada katika kituo cha kulelea watoto yatima cha DAH-LUL Mkoani Morogoro kwa ajili ya kusherehekea pasaka, 2013

Wezesha Trust Fund ikikabidhi baadhi ya vyakula kwa Kituo cha watoto walemavu na wenye utindio wa ubongo Amani Centre – Morogoro –Kulia ni Mkurugenzi Bi Lusako Mwakiluma,  Mweka Hazina Bi Evetha Richard na Afisa Maendeleo jamii Bi Ezma Mgaya na kushoto ni Mkurugenzi wa Kituo cha Amani1 comment:

 1. Hello I'am Chris From France!!
  This is not a "spam"
  You Have A Wonderful Blog Which I Consider To Be Registered In International Blog Dictionary. You Will Represent Your Country
  Please Visit The Following Link And Comment Your Blog Name
  Blog Url
  Location Of Your Country Operating In Comment Session Which Will Be Added In Your Country List
  On the right side, in the "green list", you will find all the countries and if you click them, you will find the names of blogs from that Country.
  http://world-directory-sweetmelody.blogspot.com/
  Happy Blogging
  ****************
  You can forward this invitation to your friends

  ReplyDelete